(Inasemekana) UDOWNLOAD NA USIKILIZE WIMBO HUU WA DAVIDO ULIVUJA MWAKA JANA MWISHONI

Katika pita pita zangu katika mitandao mbalimbali nimekutana na hii habari ya huu wimbo wa davido ambao unasemekana kuvuja kipindi cha mwaka jana mnamo kama mwezi wa 10.Wimbo huu ulivuja siku chache kabla ya kutoka wimbo wa skelewu ambao ulipata umaarufu mkubwa sana Afrika na nje ya Afrika.
Wimbo huo wa davido ulikuwa unaita Omo Mummy.

PATA NAFASI YA KUUSIKILIZA HAPA LEO.


CLICK HERE - DAVIDO LEACKED SONG 2013

Share: