Posts

NEW POST

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA - MIX MPYA KUTOKA KWA DJDEO255

Baada ya Kimya Kidogo sasa DJDEO ametuletea tena mix hii hapa yenye dakika 35 zenye ujazo wake , Enjoy

Vile vile unaweza kuwa karibu na yeye kupitia mitandao wa kijamii ikiwepo instagram kwa jina la @djdeo255  na facebook kwa jina la @djdeo extended ....

Tembelea maeneo yake ambayo anappatikana kila weekend kupata burudani na vibe lote ambalo huwezi kuboreka .

[DJ MIX] OMUNYE SELECTION [NON STOP]

[SOMA] DIAMOND , ALI KIBA KWENYE LIST YA TUZO ZA AFRIMA

Image
Wengine Ni JUX , HARMONIZE,OMMY DIMPOZ pia Wameonekana Kwenye Vipengele Baadhi.

Best Male West Africa 1. Wizkid – Nigeria 2. Tekno – Nigeria 3. Sarkodie   – Ghana 4. Davido – Nigeria 5. Toofan – Togo 6.  J Hus  – Gambia 7. Sidibe Diabate  – Mali 8. Stonebwoy – Ghana 9. Kiss Daniel – Nigeria 10. Mr Eazi – Nigeria

Best Female West Africa  Tiwa Savage – Nigeria Simi – Nigeria Efya – Ghana Adiouza – Senegal Ebony – Ghana Josey – Ivory Coast Vivien Chidid – Senegal Chidinma – Nigeria Becca – Ghana Yemi Alade – Nigeria

Best Male East Africa Eddy Kenzo – Uganda Diamond Platnumz – Tanzania Harmonize – Tanzania