Posts

Showing posts from November, 2013

(Inasemekana)HUYU NDIO MCHUMBA WA A.Y

Image

ETI PENNY NA DIAMOND NI NDUGU WA DAMU

Image
Katika pita pita zangu katika mitandao mbalimbali nimekutana na habari hii ikisema kuwa penny na diamond ni ndugu.Katika habari hizo ambazo zimeandikwa katika blog moja nchini kenya(Homeboyz) na Nigeria(nigeriafilms.com) zinadai ya kuwa Penny Na diamond  ni ndugu kutokana na kuwa bibi yake Penny NA bibi yake Diamond NI mtu na dada yake.

NUKUU YA TAARIFA HIYO NI HII

1...“Word coming from Tanzania has it that Diamond who is currently in relationship with radio presenter Penny is related and worst by blood. The news has been do doing rounds on major blocks sending shock waves amongst many,” umeandika mtandao wa nigeriafilms.com

2.  The two have maintained a relationship despite claims that diamond would get back with his ex Wema Sepetu. Diamond’s grandmother and Penny’s grandmother happen to share the same mother, complicated as it sounds but technically according to the Tanzanians, these people are related and bound by blood like a brother and a sister.
When contacted, Diamond …

MSANII ACHOMA MOTO GARI KISA USALITI WA MAPENZI

Image
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Berry White anadaiwa kuliteketeza kwa moto gari la mpenzi wake aina ya Toyota Spacio baada ya kuhisi anasalitiwa na wandani wake…

PENZI JIPYA LA PREZZO TANZANIA NI HILI HAPA

Image
Rapa mkali kutoka pande za Nairobi,Kenya Prezzo amepata demu mpya wa Kitanzania kutoka pande za Mkoani Kilimanjaro aitwaye Tillya baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Huddah Monroe ambaye wamekuwa watukanana kwenye mtandao.

Kupitia mtandao wa instragram Prezzo alitupia picha kadhaa akiwa na mchumba wake huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwana blog ambao kwa sasa mahusiano yao yana miezi miwili.


USIKOSE HII HAPA KILA ALHAMISI

Image
Usikose Alhamis hii na kila Alhamis kufika sehemu tulivu yenye kijiupepo kutoka bahari ya hindi COCO BEACH.

SYNERG LOUNGE N GRILL imekuandalia party tulivu,kwa watu wastaarabu kupata muziki mtamu na vinywaji baridi siku ya ALHAMISI na KILA ALHAMIS.

HAKUNA KIINGILIO.

Ni kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 7 usiku.

Njoo wewe na yule kupata burudani nzuri yenye mpangilio wa aina yake bila kukosa....

Wadada warembo watakuwa ndani ya nyumba..........

SYNERG IPO OSTERBAY KARIBU KABISA NA VIWANJA VYA MBIO ZA MBUZI.....

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0713811331


USIKOSE TUKIO HILI ALHAMISI HII NA ZINGINE ZINAZOKUJA

Image
SAVANNA LOUNGE iliyopo mbezi beach....Kiwanja kipya kabisa chenye mazingira mazuri kwaajili ya kufurahi....Inakukaribisa DADAZ,DIVAS and SISTERS kufika ndani ya mjengo huo siku ya alhamis kwa kiingilio cha FREEEEEEEEEEEEEEEEE kabisa....LAKINI ukija na BOY wako ATALIPA pesa ndogoi kabisa ya kitanzania SH. 5000/=

USIKOSE KUANZIA ALHAMIS HII.NA Jumapili ndo ile siku ya complimentary YAANI UNALIPA 5000/= halafu ndani unakula BIA 1 SAFIIIIIIII.

BREAKING NEWS- WAFANYABIASHARA K/KOO WAGOMA

Kuanzia Asubuhi mapema hii leo maduka yaliyopo eneo la biashara kariakoo yagoma kufunguliwa.Kupitia kipindi cha Clouds FM power breakfast,KIongozi wa jumuiya ya wafanyabiasha wa kariakoo ameeleza sababu za mgomo huo ni kuwa wanahitaji mazungumzo ya kina na TRA kuhusu matumizi ya mashine za ushuru katika biashara zao .

HABARI ZAIDI ZITAWAJIA

USIKOSE LEO HII KWENYE LAUNCH PARTY-AMBROSIA

Image
Leo ndio leo AMBROSIA BISTRO Mbezi beach kutakuwa na launch party ya bia ya MOKAI kuanzia saa 4 usiku mpaka ASUBUHI,

USIKOSE

KIINGILIO - BUREEEEEEEEEEE

ON THE MIX IS Dj Deo & Dj Valela from SOUND 1 ENTERTAINMENTB-FRIENDS-KUNDI LA BONGO FLAVA LINALOKUJA KWA KASI

Image
Kundi la muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva,B-FRIENDS linaundwa na vijana KISU na OZB lenye maskani yake hapa jiji dar es salaam limesema kuwa limedhamilia kuteka soko  la muziki nchini na nje ya nchi pia.Kundi hilo ambalo mpaka sasa limefanya ngoma kadhaa ambazo zimepata kutamba zaidi katiika mitandao mbalimbali duniani,vile vile kundi hilo limeweza kutengeneza remix ya wimbo wa BUSY SIGNAL-COME OVER(MISSING YOU. Ukiwa kwa lugha ya kiswahili na kuupa jina ukiitwa WE NI WANGU.Wimbo huo umeweza kutamba katika mtandao wa you tube pindi tu uliipoka video yake.....

HII HAPA AUDIO YA WIMBO HUO ULIOTUMIA BEAT YA BUSY SIGNAL...HII HAPA NI CLUB VERSION.....DOWNLOAD NA USIKILIZE HAPA

Baada ya hapo wakaja kutoa kibao kilichokwenda kwa jina la GALASA wakiwa wamemshirikisha ALLY KIBA.Isikilize hapa pia

Wakazidi kupiga hatua kwa kutoa kibao kingine chenye beat ya kwaito ya Dj cleo.Wimbo huo unaweza kuuangalia you tube unaitwa AZOGO.

Kuonyesha wao ni wakali wametoa kibao kipya kabisa a…

FORM 4 WAANZA MITIHANI YA TAIFA

Image
Kidato cha nne nchini leo wanaanza mitihani ya kumaliza elmu ya sekondari kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

BLOG YENU PENDWA INAWAPA BEST WISHEZ KWA MITIHANI YENU.


AJALI YAUWA 1 NA 50 WAJERUHIWA

Image
Habari kutoka Kenya leo jumapili zinasema kuwa ajali mbaya ya basi la abilia lililopinduka karibu na Ngala eneo la Kisii huko Nairobi baada ya basi hilokuacha njia wakati likijaribu kukata kona katika moja ya kona za barabara ya kipande.