Posts

Showing posts from December, 2013

SOMA HAPA BAADHI YA BUSARA ZA NELSON MANDELA

Image

(Inasemekana)HII NDIYO SANAMU KUBWA ZAIDI DUNIANI KUZINDULIWA SIKU MOJA BAADA YA KUZIKWA MANDELA

Image
Sanamu kubwa zaidi duniani ya Nelson Mandela imezinduliwa katika mji mkuu wa Afrika kusini Pretoria siku moja baada ya rais huyo wa zamani kuzikwa. Sanamu hiyo iliyotengenezwa kwa shaba ina urefu wa mita tisa na ina uzani wa tani nne unusu. Ilizinduliwa katika bustani la majengo ya bunge na inaonyesha Nelson Mandela akihimiza umoja na maridhiano.

Sanamu hiyo yenye mikono ya Mandela ikiwa wazi ilinuiwa kuonyesha Mandela alivyoliungaisha taifa zima kwa mapenzi yake.
Bwana Mandela lipewa mazishi ya kitaifa nyumbani alikozaliwa katika kijiji cha Qunu Jumapili
Familia ya Madiba , viongozi wa ANC , viongozi wa Afrika na maafisa wengine wakuu walihudhuria mazishi hayo katika kijiji cha Qunu mkoani Cape Mashariki.
Kifo cha Mandela kilifuatwa na maombolezi ya siku kumi na sherehe za kukumbuka maisha ya Mandela aliyefariki akiwa na umri wa miaka 95.
Bendera ya nchi hiyo ilirejeshwa kupepea katika u…

(Kama Hujui)HII LIST NDIYO YA MARAISI WA NCHI ZA AFRIKA.

Algeria: Abdelaziz Bouteflika

Angola: José Eduardo dos Santos

Benin: Yayi Boni

Botswana: Ian Khama

 Burkina Faso: Blaise Compaoré

Burundi: Pierre Nkurunziza

Cameroon: Paul Biya

Cape Verde: Jorge Carlos Fonseca

Central African Republic: François Bozizé

Chad: Idriss Déby Itno

Comoros: Ikililou Dhoinine

Dem. Rep. of Congo: Joseph Kabila

Rep. of Congo: Denis Sassou-Nguesso

Côte d'Ivoire: Alassane Ouattara

Djibouti: Ismail Omar Guelleh

Egypt: Muhammad Mursi

Equatorial Guinea: Teodoro Obiang Nguema Mbasogo

Eritrea: Isaias Afewerki

Ethiopia: Girma Wolde-Giorgis

Gabon: Ali Bongo Ondimba

The Gambia: Yahya Jammeh

Ghana: John Dramani Mahama

Guinea: Alpha Condé

Guinea-Bissau: Manuel Serifo Nhamadjo

Kenya: Uhuru Kenyata

Liberia: Ellen Johnson-Sirleaf

Madagascar: Andry Rajoelina

Malawi: Joyce Banda

Mali: Dioncounda Traoré

Mauritania: Mohamed Ould Abdel Aziz

Mauritius: Rajkeswur Purryag

Mozambique: Armando Guebuza

Namibia: Hifikepunye Pohamba

Niger: Mahamadou Issoufou

Nigeria: Goodluck Jonathan

R…

HIZI NI BAADHI YA NYIMBO DUNIANI ZILIZOWAHI KUMTAJA MANDELA

Image
Jay Z – Oh My God
Lunch with Mandela, dinner with Cavalli
Still got time to give water out to everybody
Everybody, fallDiddy (Ft. Jay Z & The Notorious B.I.G.) – Young G's
Niggas bring the ruckus?
Because release dates bigger than Mandela's, motherf*ckers

Game (Ft. Nas) – Letter to the King
I paint, make the Mona Lisa look like fake art
I feel the pain of Nelson Mandela
Cause when it rains
DJ Khaled (Ft. Ace Hood, Big Sean, Vado & Wale) – Future
Productive than others
Married to Winnie, he think he really Nelson Mandela
That's fire though
One time forJadakiss (Ft. Nas) – What If
Games people played?
What if Shyne beat the case?
What if Diddy did a dime flat?
What if Nelson Mandela2Pac – Liberty Needs Glasses
Stepped right over Oliver
And his crooked partner Ronnie
Justice stubbed her Big Toe on Mandela
AndKanye West – Tampa Visionary Stream of Consciousness
Edison. I had a dream that I was Mandela. I had a dream that I was Martin Luther King. I had a dreamLil Wayne (Ft. T-Pain) – Talk Th…

OBAMA ASHINDWA KUZUNGUMZA AKITANGAZA KIFO CHA MANDELA

Image
Katika hali ya kushangaza wengi,raisi wa Marekani ashindwa kuzungumza wakati akitoa tamko kuhusiana nakifo cha Raisi wa zamani waAFRICA KUSINI

Habari zinasema kwamba wakati Obama akitoa tamko kwa vyombo vya habari nchini humo kuhusiana na kifo cha shujaa huyo alisita sita mara kadhaa kabla ya kutamka kuhusu kifo hicho cha Mandela.


KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI ZATAWALA PICHA ZA MANDELA

Image
Baada ya hapo jana majira ya saa 2 usiku kwa saa za afrika ya mashariki kutangazwa kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na raisi wa kwanza wa Afrika kusini Bw.Nelson Mandela,leo hii magazeti mbalimbali duniani yatawala kwa habari hiyo

ANGALIA MAGAZETI HAYO


BABY MADAHA vs DIAMOND NANI ZAIDI?

Image
Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya kufunguka na  kuamua kumdiss mwanadada baby Madaha a.k.a The Bad Gul kuwa hawalingani hivyo hana muda muda wa kuwa na beef na mrembo huyu wa filamu na muziki bongo, hatimaye tumeweza kumpata baby Madaha na kufanya naye EXCLUSIVE interview na mwanadada huyu kuhusu hayo mazito aliyoyasema bwana platnumz. Na kwakuwa mwaka huu ni mwaka wa kufunguka bila kuficha chochote binti huyu aliamua kuanika yake ya moyoni kama yanavyosomeka hapo chini….

Baby alianza

“….Kwanza nitafute keeck kwa diamond kwa lipi,wakati anakuja kuniomba kuperfome 2010  akiwa ana single moja ya mbagala pale maisha plus mimi nikiwa judge na kina masoud,tayari nishafanya album ya amore india na nishapiga show kibao,wakati yeye akifikiria amkamate demu gani ili a hit kimuziki mimi tayari nishafanya  movie tatu na moja imeshinda ziff tz na ziff berlin,akiendelea kuwapanda kama farasi hao wajinga wajinga wenzie mie tayari nina tuzo tatu ziff ambazo hata marehemu kanumba angef…

NELSON MANDELA IS DEAD

Image
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia. Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27.

Mandela alikuwa anatibiwa homa ya mapafu nyumbani kwake baada ya kulazwa hospitalini kwa miezi mitatu.
Katika taarifa yake kwa watu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, alisema kuwa Mandela amewaaga lakini yuko mahali salama.
Mnamo mwaka 2005, Mandela alitangaza kwa taifa kuwa mwanawe wa kume alifariki kutokana na ugonjwa wa Ukimwi.
Rais Zuma amesema kuwa taifa limepoteza mtu waliyemjua kama mtoto wa taifa hilo.
Mandela aliwahi kushinda tuzo ya amani ya Nobel, na kutambulika kama rais aliyeheshimika sana hasa kwa kupatanisha watu wa Afrika Kusini baada ya kuondoka gerezani.
Hakuonekana sana hadharani tangu alipostaafu mwaka 2004.

(VIDEO) PAUL WALKER ALIVYOPATA AJALI ICHECK HAPA

Ajali iliyotokana na mwendo kasi na kusababisha kifo cha Paul Walker na Roger Rodas ilisababisha mripuko na cheche ambazo zilionekana toka mbali... Kipande hiki cha video kilirekodiwa na kamera za usalama.

Kipande hiki cha video kilichukuliwa toka kamera iliyokuwa juu ya jengo kwenye eneo la viwanda karibu na eneo ambalo ajali hiyo ilitokea. Ikionyesha mlipuko wenyewe (upande wa kulia wa skrini) ambao ulisababisha gari hilo aina ya Porsche kulipuka na kugawanyika kwa vipande, muda mchache kabla ya mlipuko mwengine mkubwa uliosababisha moshi mkubwa na cheche za moto kutawanyika hewani.

Unfortunately your browser does not support IFrames.
Paul Walker Crash -- The Moment Of Impact & Massive Inferno
- Watch More
Celebrity Videos
or
Subscribe