Posts

Showing posts from January, 2014

(UJIO MPYA WA HIP HOP}SIKILIZA NA DOWNLOAD HIZI NGOMA TOKA KWA WAPIGAJI SOLDIERS

Image
Wapigaji soldiers ni kundi la muziki wa hip hop toka jijini dar.Ambalo kwa sasa limeamua kushika kasi katika kufanya mapinduzi ya muziki huo hapa nnchini.Wakiongea na BLOG HII mapema hii leo kundi hilo limesema linaamua kuja kufanya mapinduzi ya muziki huu wa hip hop na kutegemea vitu vingi vizuri kutoka kwao....Moja ya changamoto walizozitaja ni ukosefu wa sapoti kutoka kwa wadau mbalimbali kama vile promotaz....
Katika kudhihirisha hilo wameamua kuachia ngoma ambazo leo hii nazitambulisha kwenu kupitia blog hii leo...ikiwa moja ya nyimbo walizoleta ofisini kwangu leo haijakamilika na kusema kuwa wameamua kuwaonjesha watanzania DEMO ili kuona ujio huu mpya kabisa..Chukua fulsa hii kudownloads na kusikiliza nyimbo hizo toka kwa WAPIGAJI SOLDIERS

ILI KUSIKILIZA NYIMBO ZAO BOFYA HAPA  http://old.hulkshare.com/djdeo

MSIMAMO WA CHART ZA NYIMBO ZILIZOWIKA MWAKA 2013

Kutokana na mitandao mbalimbali ya muziki duniani lakini zaidi tukiangalia chart za markani inasemekana kuwa kati ya nyimbo 34 bora zilizotokea kupendwa nakutamba zaidi mwaka 2013 ni kama ifuatavyo


1.BLURRED LINES-ROBIN THICKE
2. CANT HOLD US-MACKLEMORE
3.GET LUCK- DAFT PUNK