Posts

Showing posts from February, 2014

(New Hit)KEREWA- SHETTA feat DIAMOND

Image

RAY C AFUNGUKA KUHUSU MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA

Image
Msanii maarufu wa Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rehema Chalamila almaaruf Ray C,ambaye hivi karibuni alitoa wito kwa serikali kuwanyonga wale wote wanajihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Mwanamuziki huyo hivi sasa yuko kwenye kliniki maalum akipata tiba kutokana na kuathiriwa na matumizi makubwa ya dawa za Kulevya, baada ya kupata msaada kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.
Erick David Nampesya alikutana naye hivi karibuni jijini Dar es Salaam

REPORT BBC SWAHILI

ALI KIBA , DIAMOND KUNA NINI KWANI?

Image
Sijaelewa nini kinaendelea kwa hii post ya kalaNa masaa machache yaliyopita Diamond kapost hivi katika facebook

.......kiukweli, nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media, Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui "sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi

HII MISTARI YA DAVIDO KATIKA NGOMA YA "AYE"

Eh lelele lelele lo
Eh lele
Eh lele o le
Aye….oya jekele
Ah ah aye
Cause e want e my love o
She no want designer
She no want ferrari
She say na my love o
You belong to me
And i belong to her o
Uh baby
You go kill e somebody
They say love is blind
But i dey see am for your eyes o o….o eh eh
For your eyes o
She fine pass darego
She dey do like ronaldo
My sweety poraro
Ah….eminado
She likey my song
She likey my song
Her favorite artiste na davido….davido
And i like what i see
I like what i see
Baby girl just come
Come balance for me
Come balance for me
Eh eh
Cause nobody can love you like i do
Nobody can touch you like i do
Nobody can love you like i do
Nobody can touch you like i do
Aye….ololo
Ah ah aye
Cause you want e my love o
Aye….oya jekele
Ah ah aye
Cause you want e my love o
She no want designer
She no want ferrari
She say na my love o
You belong to me
And i belong to her o
Baby, you go kill e somebody
They say love is blind
But i dey see am for your eyes o o….o eh eh
For your ey…

BAADA YA KUTOKA MATOKEO YA FORM 4 HIKI NDIO KINACHOFUATA

Image
Baada ya hivi karibuni kutangazwa matokeo ya form 4 na ufaulu kuonekana umeongezeka zaidi NEW DECA HOTEL iliyopo BOKO-TEGETA inakutangazia wewe uliyemaliza na kupokea matokeo yako vizuri kuwa kutakuwa na bonge la party siku ya alhamis tarehe 13 mwezi wa 3.....Party itakukutanisha wewe na yule uliyemaliza nae shule baada ya kupoteana kwa muda mrefu,pia itakufanya ukutane na wenzako waliomaliza na wewe kutoka shule mbali mbali nchini.
Party hii haijalioshi uwe umefel au umefaulu wote mnakaribishwa hata wewe ambaye hujamaliza mwaka ana pia unakaribishwa kuja kutoa pongezi kwa wenzetu waliofanya vizuri mwaka huu.

Party itaanza saa 1 jioni mpaka mida mibovu flani kwa kiingilio chako kidogo sana cha sh. 4000 tu.

Party itakuwa sambamba na ufunguzi rasmi wa NEW CYCLONE CLUB iliyopo ndani ya hotel hiyo.

Unaombwa kufika mapema ili kuwahi nafasi .


NYOTE MNAKARIBISHWA....
UFUNGUZI WA NEW DECA INN NA CYCLONE CLUB-BOKO

Kwa wale wakazi wa Tegeta,Boko mpaka Bunju mlikuwa mnasubiri kwa hamu ufunguzi wa club mpya kabisa NEW DECA INN & CYCLONE CLUB iliyopo maeneo ya Boko msikitini.Ufunguzi wa club hiyo utafanyika mwishoni mwa wiki hii yaani ijumaa.
Wote wapenzi wa burudani mnakaribishwa katika ufunguzi huu ambao hauna kiingilio ni BUREEEEEEEEEEE

NEW DECA INN INAJUMUISHA UPATIKANI WA ;-

1.HOTEL YA KULALA
2.CHAKULA NA VINYWAJI
3.UKUMBI WA DISCO(CYCLONE CLUB)
4.GARDEN YA KUPUMZIKA

KUMBUKA
Ufunguzi ni ijumaa hii na kiingilio ni bure chini ya madj wakali kuanzia jioni mpaka asubuhi

NYOTE MNAKARIBISHWA

MFUMO WA DIGITAL KUINGIA MIKOANI

Image
TAARIFA KWA UMMA

RATIBA YA UZIMAJI  WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI
Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu. Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya Serikali kujiridhisha na matokeo ya tathmini ya uzimaji wa mitambo ya utangazaji ya analojia awamu ya kwanza kwenye miji saba ya Dar Es salaam, Tanga, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Moshi na Arusha. Tathmini hiyo imeonyesha kuwa asilimia 89% ya watanzania kwenye miji hiyo wamehamia kwenye mfumo mpya wa utangazaji wa dijitali. 
Ninaamini kuwa asilimia kumi na moja ya watanzania waliobaki kwenye miji hiyo watakuwa wameingia katika mfumo wa dijitali hadi hivi sasa.
Ndugu wananchi, Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza mwezi Machi mwaka huu katika miji tisa na kukamilika mwezi Oktoba 2014. Miji hiyo ni Singida, Tabora, Musoma, Bukoba, Kigoma, Morogoro, Kahama, Iringa na Songe…

DAVIDO ADONDOSHA NGOMA MPYA

Image
Katika pita pita mitandao mabalimbali,mtandao wa MTV / NIGERIA umesema ya kuwa davido ameangusha ngoma mpya hii leo.
NUKUU
Davido has just dropped his new love song “Aye”. The song comes just in time for Valentine’s Day and is the singer’s forth single from his upcoming album which is expected this year.