Posts

Showing posts from March, 2014

DIAMOND KUSHIRIKI KATIKA WIMBO WA "COCOA NA CHOCORATE" WA DBANJ

Image
D’Banj has dropped what could be the biggest collaboration on the continent. His new song “Cocoa Na Chocolate” features 19 African artists from 11 countries.

The song is aimed at supporting ONE.org’s new campaign.

D’banj, who is the ambassador for ONE, has featured Dama Do Bling (Mozambique), Diamond (Tanzania), Dontom (Nigeria), Fally Ipupa (DRC), Femi Kuti (Nigeria), Judith Sephuma (South Africa) and other artists on the song.
(soma)SHOW YA DAVIDO NEW YORK YASTOPISHWA

Image
Last Friday (March 28) Nigerian pop star Davido and the HKN gang’s concert in New York City was shut down by the New York Police Department.

Davido’s performance was stopped midway by the police and NY fire department because of safety concerns. The venue in Brooklyn was overbooked.

The singer has since issued an apology to his fans. He is set to perform in Dallas on 4 April and Toronto on 5 April

 source mtv-nigeria

HII NDIO SABABU YA KARRUECHE KUACHANA NA CHRIS BROWN

Image
Karrueche Tran reportedly ended things with Chris Brown after finding inappropriate text messages on his phone.

According to gossip website TMZ, after visiting Breezy in rehab, Karrueche found a number of messages from girls on his phone. She reportedly had enough of Chris’ cheating ways and decided to end things!

CHRIS BROWN ACHUKIA KILA DAKIKA MAISHA YA JELA

Image
Habari hii inaripotiwa na chanzo kimoja cha habari kilichofanya mahojiano nae....

Chris Brown cannot wait to get out of prison. The star, who’s spending a month behind bars, reportedly feels like a caged animal in jail. Breezy is said to hate every minute of his stay in prison and has reportedly described this as the worst experience of his life.


Chris Brown says he's finally been scared straight -- because he learned pretty quickly ... jailsucks.

You'd think the photos of Rihanna's battered face would have left an impression ... on him.  But apparently it took a few days in solitary to shake Chris to the core.

One source -- who recently spoke with Brown on the phone -- tells us, Chris says he feels like "a caged animal," calling it "the worst experience of my life."

We're told Chris has been spending his time behind bars working out and writing music.  He's telling people on the phone, "I'll never f*** up again."

Not particu…

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA DECA INN HOTEL - BOKO TEGETA

Image
Baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kuanzia mwishoni mwa mwaka jana hivi sasa huu (katika picha) ndio muonekano mpya wa deca inn kwa wale wanaoishi njia ya kuelekea bagamoyo watakuwa wanapajua.Kiukweli kwa sasa muonekano wake una hadhi ya juu sana,ambayo kila mtu akihitaji kupaona au kufika eneo hilo ataweza kurefresh mind yake na kuenjoy.Pia kwa kuona umuhimu wa watoto kupenda michezo mbali mbali hasa bembea,kuna sehemu imewekwa bembea kwa ajili hiyo.
Hivyo unaweza kufika na famili yako bila kupata usumbufu wowote ule na kutuliza akili yako.
Kwa hakika hakuna buguza ya makelele wala ualifu wa aina yoyote.

Hata mimi mwandishi wa habari hii napenda kukuambia kuwa tembelea siku moja utaweza kuona ukweli wa ninachokuambia.Mazingira mazuri,upepo mwanana,chakula na vinywaji mbalimbali,bila kusahau kuna hoteli kwa ajili ya mapumziko mbali mbali iwe honeymoon n.k

Vile vile kwa wale wapenzi wa burudani kila siku ya ijumaa na jumamosi kuna muziki maalum wa kisasa na wa enzi zileee....mida ya u…

(Picha)KANYE WEST AKIMPIGA MOJA YA MAPAPARAZI

Image
Hivi karibuni rapa wa nchini marekani Kanye West amefikishwa polisi kufuatia kumpiga moja ya paparazi.Kitendo ambacho kimefanya apewe kifungo cha nje kwa adhabu ya kuhudumia jamii.


(video)120 bpm Naj feat Aslay Nimechoka

Ule wimbo wa mwanadada NAJ akiwa na dogo aslay ... hii hapa ni video yake

(Video)120 bpm Naj feat Aslay NimechokaDj Deo Extended

Ule wimbo wa mwanadada NAJ akiwa na dogo aslay ... hii hapa ni video yake extended version

(Audio)DOWNLOAD NA USIKILIZE WIMBO HUU MPYA -Fraga-Kupatia

JUMAMOSI HII HAPA- FACEBOOK PARTY

Image
Hii hapa ni bonge moja la party ya kukufanya ukutane na yule mtu unaechat nae kila mara,yule mtu unaelike status zake kila mara na yule mtu unaecomment status zake kila mara..
Party hii itafanyika siku ya jumamosi na sehemu iliyopendekezwa ni maeneo ya osterbay katika lounge inaitwa SYNERG GRILL & LOUNGE...
Inajulikana kuna vipaji vya kutosha sana kwa wana facebook so mida fulani hivi kama kawa utashow us what you got form god au unaforce tu?

Unaombwa kununua tiketi yako haraka na mapema kwa bei ndogo kabisa ya 5000/= lakini ukija kununua tiketi pale getini utakatwa 7000/= so fanya uwahi tiketi mapema kwa kupiga namba za simu zilizopo katika tangazo hapo chini.....
ukichelewa nafasi zikijaa basi tena.
(New hit) Naj feat Aslay - Nimechoka

Image
Mzigo mpya huu hapa kutoka kwa x gal wa mr.blu mwanadada NAJ akiwa na DOGO ASLAY amerudi kivingine kabisa na mtindo huu wa kwaito ...

pata kuusikiliza kwa mara ya kwanza kabisa kupITIA hapaVideo yake pia ni kali na nitaiweka hivi karibuni kaa tayari

HII PAPA (ORIJINO) NA (DJ DEO EXTENDED VERSION)


(Watch this )Mariana Feat Blad Key Umenibamba

FORM 4 RESULTS CONCERT PARTY-2014

Image
NEW DECA INN HOTEL maeneo ya boko Tegeta inapenda kukualika wewe uliyemaliza form 4 mwaka jana katika party hii kubwa itakayofanyika siku ya alhamisi tarehe 13/03 kuanzia saa 1 jioni mpk kuchwee

Haijalishi uwe umefell au umefaulu pia haijalishi hata kama hujamaliza mwaka jana pia unakaribishwa kufurahi na mwenzako.Pata fursa ya kuonana na kukutana na mwenzako siku hiyo.

Michezo mbalimbali ya kukufanya uonyeshe kipaji chako itafanyika mapema zaidi katika kipengele cha SHOW US WHAT YOU GOT kwahiyo kwa wewe unaejua KUCHANA,KUIMBA,FASHION,SARAKASI hata KUCHEKESHA pia mnakaribishwa mapema zaidi ili kuweka ratiba sawa.

Kiingilio ni kidogo kabisa cha sh. 4000 na burudani za kutosha toka kwa madj wakali jijini mpaka kokorikooooooooo,.....

UNAOMBWA UKIPATA TANGAZO HILI MTAARIFU NA MWENGINE .

PARTY IMEDHAMINIWA NA

1.DECA INN HOTEL
2.www.deejaydeo.blogspot.com
3.CYCLONE NIGHT CLUB

KWA MAELEZO ZAIDI CHECK HII 0654575021 KWA WHATSAPP PEKEE
AU 0713811331 SMS NA KUPIGA


DAKIKA 52 SIKILIZA HII RNB NON STOP MIXING YA DJ DEO

Inakuwaje fans wangu ? Mi nashukuru kwa kuendelea kutembelea hii blog na kuona kazi mbali mbali nizifanyazo...
Hii mixing iliwekwa mtandaoni miezi 10 iliyopita na imepata kusikilizwa mara 282 na kudownloadiwa mara 39
Leo hii nimependa kuwaletea  mixing hiyo ya rnb... naomba tumia dakika zako 52 kuisikiliza na unaweza kuidownload pia ukaenayo nyumbani....
Maoni yako ushauri na sapoti pia nazipokea kwa WHATSAPP NAMBA +255 654575021

KARIBU SANA.....


(DOWNLOAD)NEW HIT SONG.....MARIANA FEAT. BLAD KEY

Image

eeeeeh kumbe! WASTARA NI MPENZI WA ......... KABLA YA SAJUKI

Image

(New Audio) JUX - NITASUBIRI

Image

FAHAMU HUU NDIO WIMBO BORA WA MWAKA 2013 WA SOUTH AFRICA

Y TJUKUTJA - UHURU feAT DJ BUCKS&OSKIDO&PROFFESSOR ...Inasemekana kuwa huu ndio wimbo bora wa mwaka 2013-2014 kwa south africa ukiachilia mbali kuwika kwa kurudi tena kwa kundi zima la mafikizoro na kufanikiwa kutoa ngoma 2 kwa mpigo na zote kufika chat mbali mbali za muziki africa.Hapa nazungumzia HAPPNESS ambayo walimshirikisha MAY D na KHONA mbayo walimshirikisha UHURU...

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO BORA WA MWAKA 2013 -2014 SOUTH AFRICA


(new hits) MARLAW-NO GO

Image