Posts

Showing posts from May, 2014

"NKWATA" NGOMA MPYA YA GOSPEL KUTOKA KWA CHAMILION

Image
Baada kusikika habari kuwa Nwiji wa muziki kutoka uganda kuokoka na kuanza kufanya muziki wa gospel miaka kadhaa sasa,na uanza kutoka na wimbo wa tubonge hivi sasa ameachia ngoma nyingine inaitwa nkwaka....PATA KUIDOWNLOAD NA KUISIKILIZA KUPITIA BLOG HII

"KITORONDO" WIMBO WA DIAMOND WASADIKIWA KUVUJA

Image
Baada ya hivi karibuni kuzuka kwa taarifa ya kuwa umetoka wimbo mpya wa diamond platinumz uitwao kitorondo.Mwenyewe ameibuka na kupost status kupitia account yake ya facebook ya kuwa wimbo huo haujatoka rasmi hivi ameomba usiweze kupigwa katika media au sehemu yoyote kwa maana hauna KUWARITI nzuri ya kupigwa kokote....

HAYA NDIYO ALIYOANDIKA

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified...."


WIMBO WENYEWE UPO HAPA CLICK KITORONDO AUDIO
.