Posts

Showing posts from June, 2014

(Coming soon by Dj Deo) MIXING NON STOP YA OLDSKOOL RNB

Image
Baada ya hivi karibuni kuachia hewani non stop mixing ya saa 1 ya nyimbo tofauti za nigeria...Dj huyo ameibuka na kutoa cover la non stop nyingine ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni.Akizungumza muda mfupi uliopita na blog yetu Dj huyo ameeleza kuwa ujio huu mwingine ni wa nyimbo mbalimbali za RnB zilizotamba miaka hiyo ya 2000 ikiwa zimefanyiwa mixing tulivu zitakazoweza kukufanya wewe msikilizaji ujisikie huru na kurefresh mind yako.
Ameongeza kusema kuwa kwa yeyote anayependa mixing zake anaweza kumsapoti kwa hali yoyote ile.  
Pia anakubali mwaliko wa kupiga party yako au club au lounge.
Ukiangalia cover la ujio huu mpya utaweza kuona jinsi mtu anavyokuwa na hisia tofauti akiwa anasikiliza hii mixing.
Unaweza kumpa maoni yako kupitia mtandao wa whatsapp namba yake ipo katika cover katika picha hii hapo chini.


TAZAMA VIDEO HII HAPA YA BEN POL Ft. JOH MAKINI - UNANICHORA

TAZAMA VIDEO HII HAPA YA BEN POL Ft. JOH MAKINI - UNANICHORA

(Audio)Download na sikiliza Dj Deo - Nigeria (African Hits) Non Stop

Image
Katika kuendeleza harakati za udj Tanzania Huyu Dj ameamua kutoa hii Non stop kwa mashabiki wake ili waweze kuona moja ya kazi zake....Akizungumza na Blog hii mapema hii leo amesema kuwa kwa sasa ameamua kutengeneza Non stop ili washabiki na wengine wanaopenda kufahamu kazi yake katika udj ha mixing wapate kujua..Pia ameeleza kuwa katika nonstop hii kuna makosa madogo madogo lakin kwa mtu Dj anaweza akagundua akisikiliza vizuri mpaka mwisho.

KARIBU UISIKILIZE NA UIDOWNLOAD ILI UWEZE KUAMISHIA DISCO NYUMBANI ...

Non stop hii imebeba nyimbo zinazotamba zaidi kwa sasa kama vile JOHNNY ya yemi alade,skelewu ya davido,test money ya p square na nyingine nyingi.
HII NDIO VIDEO YA Shetta Ft Diamond Platnumz - Kerewa (Official Video)

(Video) HII NDIO VIDEO YA Jux - Nitasubiri [Official Video]

HUYU NDIO MNYAMA ANAETABIRI MECHI ZA KOMBE LA DUNIA

Image
Kwenye miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na matumizi ya wanyama na viumbe wengine kwenye kutabiri matokeo ya mechi za soka hasa kwenye michuano mikubwa kama kombe la dunia.

Mwaka 2010 wakati wa WOZA, nchini Ujerumani kulikuwa na Pweza ‘Octopus Paul’ ambaye alitabiri mechi zote na akapatia kila utabiri, mwaka huu amekuja Ngamia aitwaye Shakeeen kutoka Dubai ambaye nae alianza kutabiri tangu siku ya kwanza.


Shakeen ambaye anamilikiwa na shabiki mmoja wa timu ya soka ya Al Wasry ya Dubai, alitabiri mechi zote za ufunguzi na akapatia, akatabiri ushindi wa Italy dhidi ya England akapatia, jana akaitabidi ushindi Ufaransa na Argentina akapatia
source Djro Arungu

NGOMA YA MAREHEMU LANGA ALIOIFANYA KABLA YA KIFO CHAKE

Image
Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwake aliweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake.
Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus. Pata ngoma hii ambayo kila ukiisikiliza utagundua kuwa Langa alikuwa anaongea na mashabiki wake.

UNATAKA KUWA NA MAENDELEO?EPUKA HAYA MAMBO 10

Image
You have big dreams – you want to own that large car, build that magnificent home or start a successful business venture by the time you reach 30. Well, you know what, our fathers and elder brothers too had such dreams, but for one reason or another they did not (and probably still haven’t) achieve them.
So, where did they go wrong and how can you avoid taking the path they took? Kuza Biashara has identified 10 things that you need to avoid if you want to keep your financial engine revolving at whiz speed.
#1: Don’t keep your money lying somewhere; invest it
Do you know what happens to the money you keep lying idle in some savings account? To tell you the truth – wise entrepreneurs borrow it (inform of loans) and invest it in high-yield projects. This way, they make millions out of sweat while you remain poor, struggling to pay your monthly bills. Tip: Starting today don’t save just for the sake of it, rather save to invest.


#2: Don’t be a show off person
Don’t rush into buying …