Posts

Showing posts from July, 2014

(Inasemekana) UDOWNLOAD NA USIKILIZE WIMBO HUU WA DAVIDO ULIVUJA MWAKA JANA MWISHONI

Image
Katika pita pita zangu katika mitandao mbalimbali nimekutana na hii habari ya huu wimbo wa davido ambao unasemekana kuvuja kipindi cha mwaka jana mnamo kama mwezi wa 10.Wimbo huu ulivuja siku chache kabla ya kutoka wimbo wa skelewu ambao ulipata umaarufu mkubwa sana Afrika na nje ya Afrika.
Wimbo huo wa davido ulikuwa unaita Omo Mummy.

PATA NAFASI YA KUUSIKILIZA HAPA LEO.


CLICK HERE - DAVIDO LEACKED SONG 2013

JOB VACANT - CHECK KAZI ZENYE MSHAHARA MNONO

Image

(Sikiliza na download)HII HAPA RIDDIM NON TOP - DJ DEO

Image
Hii ni nyingine tena toka kwa Dj Deo ameamua kuleta kwenu hii hapa reggae ama loverrock ama sweetreggae riddim

Pata kuiikiliza na kuidownload kupitia hapa ....CLICK HERE Riddim(Non Stop)-DjDeo.mp3