Posts

Showing posts from November, 2014

DIAMOND PLATINUMZ - NITAMPATA WAPI (Dj Deo Ext)

Image

JE UNALIJUA HILI?

Image
Je umeshajiaandaa kutoka wikend hii?Basi usiende kwengine bali njoo NAKA VIP CLUB maeneo ya TEMEKE kwa AZIZ ALLY....
Burudani zitaanza mida ile ya saa 3 mpaka majogoo.
Bila kusahau kuwa KIINGILIO ni miguu yako na pesa yako ya kunywa gammbe tu  mpaka asubuhi.
Kama hupajui na unatokea mbali we njoo mpaka TEMEKE KWA AZIZ ALLY kisa mtafute dereva yeyote wa bodaboda muulizie sehem inaitwa NAKACHALE utaletwa MPAKA
ndani.

USIKOSEE...MDAU...WANGU
WIZ KID Feat TYGA - SHOW YOU THE MONEY(Young Djs Ext)

Image