Posts

Showing posts from June, 2015

HII NDIO LIST YA NYIMBO 100 ZILIZOFANYA VIZURI 2014 HUKO MAREKANI

Katika mtandao mmoja unaotoa misimamo ya nyimbo zilizofanya vizuri kila mwaka  ukianzia miaka hiyo ya zamani imetoa msimamo wa list nzima ya nyimbo 100 zilizofanya vizuri mwaka jana...


BONYEZA HAPA KUANGALIA HIYO LIST

*ANGALIA KIPANDE CHA WIMBO WA ALI KIBA-Chekecha Cheketua Video Teaser

Image
Ali kiba anaachia video ya wimbo wake wa chekecha hivi karibuni

MBALI NA MUZIKI DAVIDO AMEAMUA KUFANYA HIKI KITU

Image
Mbali na sanaa ya muziki ,Msanii mkali wa Nigeria ameamua kutengeneza t-shirt zenye katuni yake na chata lake ambalo mara nyingi katoka nyimbo zake hulitaja O.B.O

*NEW Video) Fuse ODG - Only (Official Music Video)

Image
Star aliyeanzisha staili ya azonto sasa ameachia kitu hiki kipya ...Enjoy

NE YO NDIO MSANII ATAKAEPIGA SHOW KWENYE MTV MAMAZ-2015

Image
Tuzo kubwa za muziki Africa zijulikanzazo kama MTV MAMA2015 zitakzofanyika tarehe 18 july 2015 huko KWAZULU NATAL - SOUTH AFRIKA zitapambwa na msanii wa kimataifa kutoka marekani NE YO.

Katika tuzo hizo ambazo zimeweza kuwataja wasanii wawili wa TANZANIA kuwania vipengere kadhaa vikiwemo MSANII BORA WA KIUME(BEST MALE) , WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA(BEST COLLABO) na MTUMBUIZAJI BORA(BEST LIVE) akiwa amekaa Msanii DIAMOND katika vipengere hivyo.

Vilevile katika kipengere cha MSANII BORA WA KIKE(BEST FEMALE) akiwa amekaa VANESA MDEE akishindana na wasanii wengine kutoka afrika.

Ili kuweza kuwapigia kura wasanii hao wa tanzania unaweza kuingia katika link ifuatayo

VOTE FOR MTV MAMA2015(New Video)-Flavour - Power To Win [Official Video]

Image
Hii ndio video music mpya kutoka kwake Mnigeria Mr.Flavour wimbo wake mpya aliouachia hivi
karibuni unaoitwa POWER TO WIN ikiwa audio imetengenezwa nae producer MASTERCRAFT.

(VIDEO)-ALI KIBA AJIBU SWALI KUHUSU BIFU NA DIAMOND AKIWA KWENYE DALADALA

Image

WEMA SEPETU AZUNGUMZA KUHUSU KUTOA MIMBA NA KUKOSA MTOTO KWA SASA

Image

DIAMOND NA VANNESA MDEE WATAMBA TRACE TV

Image
Kituo kikubwa kabisa cha televisheni cha trace kinachorusha NYimbo 10 bora za Afrika,kwa sasa Watanzania washika kasi baada ya chat hizo kushikwa na wasanii wawili toka Tanzania

Nafasi ya 8 imekamatwa na VANNESA MDEE FT. K.O -NOBODY BUT ME

Nafasi ya 2 imekamatwa na DIAMOND FT. MR.FLAVOUR- NANAMADJ KENYA WAGOMA KULIPIA WANAPOPIGA NYIMBO ZA KIKENYA

Skendo hii imeanzia hivi karibuni kufuatia kuzaga kwa taarifa kuwa wasanii wa kenya wanadai kulipwa pindi nyimbo zao zinapochezwa na madj nchini humo.Hali ambayo imeleta mtafaruku mkubwa kati ya madj wa kenya na wasanii na kuna fununu ya kuwa baadhi ya madj wa kenya wamefuta kabisa nyimbo za wasanii wa kenya katika vifaa vyo vya kuhifadhia nyimbo zao.
Hata kufikia madj wengine mfano wa redio kuacha kabisa kucheza nyimbo za wasanii wa kenya na badala yake wanacheza nyimbo za mataifa mengine kama vile Tanzania,Nigeria,Uganda n.k

Hali imekkuwa tete zaidi kufuatia maoni mbalimbali kutoka katika kikundi kubwa la madj ambalo lipo katika mtandao wa facebook.

Hizi ni baadhi ya post za hivi karibuni kufuatia sakata hilo huko nchini kenya......Deejay Shock
June 21 at 3:18am
I am wondering if artistes are aware of how serious the licence issue is to their own livelihood. Several Djs have deleted their whole Kenyan music collections, some are issuing disclaimers that they will no longer accept m…

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA DIAMOND Feat MR FLAVOUR - NANA

Image
Ile video inayotamba kwa sasa katika vyombo mbalimbali vya habari Tanzania na Africa kwa ujumla ya msanii maarufu wa Tanzania Diamond akiwa ameshirikiana na Mr.Flavour kutoka Nigeria inayoitwa Nana,Je unajua ilitengenezwa vipi? Basi ilikuwa hivi

FULL VIDEO ya tuzo za KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2015

Image
Kama ulipitwa na kutazama show nzima ya KILIMANJARO MUSIC AWARDS basi chukua muda wako wa masaa mawili kutazama mwanzio wa show mpaka mwisho wa show hiyo
ENJOY.

(New Video) JOSE CHAMELEONE: BWERERE (OFFICIAL HD)2015

Image

(New Video) Msamibaby - Yala yala (Official Music Video HD)

Image

(New Video) SKALES - IJO AYO FT OLAMIDE (OFFICIAL VIDEO)

Image

(New Video) _ Yamoto Band - Nisambazie Raha [Official Video]

Image

(nEW vIDEO) Sarkodie - New Guy ft. Ace Hood (Official Video)

Image

ALI KIBA ANG'ARA KATIKA TUZO ZA MUZIKI KILL MUSIC AWARDS

Image
Usiku huu kile kinyang'anyiro cha ugawaji wa tuzo za muziki nchini kijulikanaco ka kill muzik awards kimehitimishwa kwa wasanii mbalimbali na makundi mbali mbali ya muziki kupata tuzo hizo.
Lakini kubwa zaidi ambalo limezua gumzo nchini kuwaangalia zaidi wasanii wakubwa wawili wa muziki nchini yaani DIAMOND na ALI KIBA.
Wengi wetu tunajua kuwa kuna ubishani mkubwa sana kati ya wasanii hao wawili mpaka kufikia watanzania wenyew kutengeneza makundi kati yao yaani utakuta kuna TEAM KIBA na TEAM DIAMOND ambapo usiku huu amejidhihilisha mbabe nani katika kuwania tuzo hizo.
Mkoani MTWARA katika baa moja kubwa  inaitwa FIRE CANTEEN hali ilikuwa tete baada ya TEAM hizo mbili kutambiana pindi tu kipenga cha tuzo hizo kilipoanza.
Hali ilianza kutia faraja baada ya DIAMOND kuonyesha matumaini yake mwanzoni katika kipengele cha WIMBO BORA WA MWAKA WA ZOUK RUMBA mbapo wimbo wa NTAMPATA WAPI uliweza kunyakua tuzo hiyo.
Pia katika kipengere kingine cha VIDEO BORA YA MWAKA kupitia wimbo wa MDOGO …

HAWA NDIO WALIOSHINDA TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS(KTMA 2015)

Image
Ushindani ulikuwa mkubwa sana katika vipengere vyote vilivyowaniwa na wasanii hata makundi mbalimbali ya muziki tanzania na afrika mashariki.
Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubisi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.
Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.

1. KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA)   - YA MOTO BAND

2.KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)            - JAHAZI MORDEN TAARAB

3.MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)           - JOSE MARA

4.MWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU)         - ISHA MASHAUZI

5.WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA) -MWANA(Alikiba)

6.WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)        - WALE WALE(Fm Academia)

7.MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)    -MZEE YUSUPH

8.WIMBO BORA WA RNB                                     -SISIKII(Jux)

9.MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)  -VANESSA MDEE

10. MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA) -ALI KIBA

11.MTUMBUIZA…

(NEW VIDEO0 Patoranking ft Wande Coal - My Woman My Everything (NEW OFFICIAL 2015)

Image

COLLABO NYINGINE AFRIKA NA MAREKANI NI HII HAPA

Image
Baada ya Davido kupaa mpaka Marekani na kufanya ngoma na mkali wa rap Meek Mill,msanii mwingine wa Afrika kutokea pande za Ghana anaitwa Sackodie nae amepaa mpaka marekani na kufanya ngoma na mkali mwingine wa rap huko anaitwa ICE HOOD.
DIAMOND NA VANESSA MDEE WAWANIA TUZO ZA MTV MAMAS 2015

Image
Hongera kwa wasanii wetu Tanzania kutanjwa kuwania tunzo za muziki afrika za MTV MAMAS AFRICA 2015 zitakazofanyika kwa zulu natal africa kusini
LIST NZIMA HII HAPA CHINI BOFYA HAPA LIST YA WASANII WA MAMAZ 2015VIDEO YA 'FANZ MI' YA DAVIDO & MEEK MILL YAONGOZA KUTAZAMWA NDANI SAA 24

Image
Kupitia mtandao mmoja umeripoti ya kuwa haijawahi kutokea kwa msanii wa nigeria kufanya video na ikapata kutazamwa mara nyingi zaidi ndani ya saa 24.
Rekodi hii imeonyeshwa na davido kupitia video yake mpya aliyoiachia hivi karibuni akiwa na rapa wa kimarekani wa kuitwa Meek MILL.
Mtandao huo umeripoti na kusema kuwa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la FANS MI ilipata kutazamwa ma Mil.2 na zaidi ndani ya saa 24.(New Video) Yemi Alade - Pose ft. Mugeez (R2Bees)

Image

(New Video) Matonya Feat. Rich Mavoko | Mule Mule | Official Music Video

Image

(New Video) PSquare - Bring it On [Official Video] ft. Dave Scott

Image

(New Video) Korede Bello - Godwin Official Music Video

Image

(New Video) DAVIDO ft MEEK MILL - FANS MI (Official Music Video)

Image

PICHA HII YA MILEY CYRUS YAZUA MGOGORO

Image
Msanii wa muziki kutoka Marekani mwanadada MILEY CYRUS usiku wa kuamkia leo amepost picha akiwa uchi wa mnyama kupitia acount yake ya facebook.Baadhi ya washabiki wake wamjia huu kwa maneno makali na wengine kuamua kusema kuwa hana wazazi.
Hii si ngeni kwa mwanadada huyu kupiga picha za uchi na ameonekana mara kadhaa akiwa uchi wa mnyama hata katika video ya wimbo wake wa WRENKING BALL.

BOFYA HAPA KUTAZAMA MOJA KWA MOJA PICHA HIYO KUPITIA FACEBOOK
MILEY CYRUS PICHA YA UCHI

Posted by Miley Cyrus on Tuesday, June 9, 2015

(New Video) -Nuh Mziwanda - Bilima (Official Music Video)

Image

(Extended) LINEX FT DIAMOND - SALIMA(DjDeo Ext)

Image

(Extended) LINAH FT CHRISTIAN BELLA - HELLOW(DjDeo Ext)

Image

(New Video) Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]

Image