Posts

Showing posts from August, 2015

Bracket - IYERI [Official Video]

Image

Sauti Sol - Shake Yo Bam Bam (Official Music Video ) 2015

Image

HII HAPA NON STOP MPYA YA DJ DEO (IDOWNLOAD NA UISIKILIZE )

Hatimaye baad ya kimya kingi kutokutoa non stop mix mpya sasa Dj Deo kutoka young Djs lenye makazi yake jijini dar ameachia leo non stop mpya aloipa jina la east african vide.Non stop hii ni ya saa 1 na dakika 2 ambayo imebeba nyimbo mchanganyiko kutoka nchi 3 tofauti yaani kenya , Tanzania na Uganda.

Anaomba uchukue muda wako uidownload na uiskilize mix kali ilotulia kukuondolea mawazo na kukupa faraja katika akili yako.

Pia unaweza kumsahuri chochote pindi utakapoisikiliza non stop hii kupitia account zake mbali mbali ikiwepo WHATSAPP namba +255713811331
FACEBOOK +Deogratius Robert au @dvj deo
INSTAGRAM @djdeo255

NON STOP AUDIO HII HAPA