Posts

Showing posts from March, 2016

HII HAPA MIX MPYA YA DJ DEO

Image
Baada ya kimya kirefu sana sasa kata kiu yako ya mix nonstop kutoka kwa dj deo...
Hii hapa ndio mix yake mpya ambayo imeachiwa hewani kuanzia jana jioni. Akizungumza na mwandishi wa blog hii DjDeo ambaye kwa sasa anapatikana MICASA LONJI iliyopo TABATA amesema 'washabiki wangu wengi mix walikuwa wanaulizia sana kwaba lini nitatoa mix nyingine kali ambayo itajumuisha nyimbo mbalimbali mpya za kisasa ndio maana nimeamua kuachia mix hii mwishoni mwa mwezi huu wa 3 kukata kiu yao mashabiki zangu'...

Akiendelea na taarifa hiyo kuwa kwa sasa yuko tayari kufanya kazi na bosi yoyote ambaye atapenda kufanya kazi na dj deo.
 Vile vile ametoa mawasiliano yake kwa yule ambaye amevutiwa na mix hii anaweza kuwasiliana nae kupitia mitandao mbalim bali kama ifuatavyo
FACEBOOK @ djdeo mastermix
INSTAGRAM @djdeo255 au djdeo_mastermix
WHATSAPP @+255 713811331

UNAWEZA KUSIKILIZA AU KUDOWNLOAD KUPITIA LINKS HIZI