Posts

Showing posts from December, 2016

BONGO FLEVA OLDS [zamani] EXTENDED

Asante kwa kuendelea kuwa pamoja na mimi ... na kuendelea kutumia EXTENDED zangu...

Leo nakupa zawadi ya Kufundia mwaka ... Na Kusherekea X-MASS...

Hizi ni Playlist ya nyimbo 20 za BONGO FLEVA ZA ZAMANI ... zikiwa kwenye mfumo wa EXTENDED zilizotengenezwa na djdeo

MFUATE [MFOLLOW] kupitia instagram kwa jina la @djdeo255

JINSI YA KUDOWNLOAD HII PACK

1. Bofya hii link hapa ya blue ...

BONGO FLEVA ZAMANI EXTENDED


2.Ikishafunguka ,utaona ujumbe halafu neno DOWNLOAD ,Bofya hapo kwenye DOWNOAD

3.Kila kinachokuja accept na mwishowe utaona mzigo unshuka kwenye PC yako.


RICH MAVOKO feat. DIAMOND = KOKORO [VIDEO EXTENDED]

SIKILIZA HII MIXTAPE NYINGINE YA DJDEO

Baada ya kimya kirefu sana saa DjDeo Ameamua kuachia tena MIX yake nyingine aloipa jina la FULL MOON ...

CUKUA TIME YAKO YA SAA 1 KUSIKILIZA MIX KALI ZILIZOPANGILIA KIUAKIKA ZAIDI