#DOWNLOAD DJ MIXTAPE - "THE RIDDIMZ REVIEW MIXTAPE" By DJDEO

Kwa Mara nyingine tena yule yule OFFICIAL DJ DEO kutokea KISS FM RADIO Dar Es Salaam,Anakuja kukudondoshea MIXTAPE ingine kwa wale wapenzi wa muziki wa reggae.
Sikiliza Mixing kali zilizopangiliwa kugusa hisia zako... 

Kwenye MIXTAPE hii utapata kusikiliza RIDDIMZ mbalimbali zilizotamba na zinazotamba kwa sasa. Ikiwa ni katika KUREVIEW riddim versions fulani za sweet reggae (Loversrocks)

KAMA WEWE NI MPENZI NA UNGEPENDA DJ DEO AJE KUAMSHA HISIA ZA WATEJA WAKO KWENYE CLUB , BAR, PUB , LOUNGE N.K unaweza kumtafuta kupitia mawasiliano yake ambayo ni 0713 811331 AU mitandao ya kijamii kama vile INSTAGRAM @djdeo255 na FACEBOOK @rdj deo.



Share:

MR. EAZI AVUJISHA WIMBO WAKE ALIWASHIRIKISHA RITA ORA NA WIZ KID

Skin Tight ni wimbo wa msanii kutokea Ghana ajulikanae kwa jina la mr. Eazi. Wimbo huo umekwishatoka tayari na unapatikana kwenye mitandao mbalimbali.
Kwa habari za juu juu zinasema kuwa Remix ya wimbo huo "Skin Tight" Mr Eazi amewashirikisha Msanii kutokea British mwanadada Rita Ora na mkali kutokea Nigeria Wiz Kid kuwa umevuja hakupanga kuutoa kwa wakati huu ....

USIKILIZE KWA KUBONYEZA LINK HAPA   MR.EAZI ft. RITA ORA & WIZ KID





Share:

MR. FLAVOUR KUACHIA ALBAM YA 5 ???

Hili swali ambalo Msanii huyo kutoka Nigeria Aliwauliza mashabiki zake kupitia mtandao mmoja wa kijamii. Tangu Mr. Flavour kuingia kwenye Tasnia ya Muziki mpaka sasa amekwishaachia albamu nne ambazo zinakwenda kwa majina yafuatayo....


Mwaka 2005 - N'abania
Mwaka 2010 - Uplifted
Mwaka 2012 - Blessed
Mwaka 2014 - Thankful

Hizo Zilikuwa ni albamu ambazo zimefanya vizuri kwenye chati mbali mbali ndani na nje ya Nchi ya Nigeria.

Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Msanii huyo alipost akiuliza mashabiki zake "Who is ready for a 5th album?"


Share:

Sikiliza Hapa #KAMA ULIMISS PLAYLIST YA KWANZA YA DJDEO KWENYE KISS FM RADIO

KISS MOST WANTED kutokea KISS FM RADIO ndio kipindi pekee cha burudani kinachoruka hewani kutokea dar es salaam KISS FM RADIO ... DjDeo ndio huwa anaongoza playlist zake kwenye kipindi hicho kwa siku za jumamosi na jumapili.
Sasa Basi kama ulipitwa siku ya jumapili katika DOP SESSION PLAYLIST ya KWANZA ya dj ... Chukua muda wako sikiliza ktokea hapa ....







Share: