UNAKOSAJE SASA??? HII PARTY SIO YA KUKOSA ....

Ni Jumamosi hii tarehe 22 ... Eneo ni JANGWANI SEE BREEZE RESORT maeneo ya mbezi Beach ... Ukifika Kituoni AFRICANA unachukua BAJAJI au PIKIPIKI unamweleza tu akupeleke JANGWANI SEE BREEZE RESORT.

Kwenye mashine Atasimama DJ DEO kutokea KISS FM RADIO DAR ESSALAA akisaidiwa na kupigwa tafu na DJ VALELA kutokea YOUNG DJS .

Akiongea na mwandishi wa habari hii DJDEO amesema Watu na wateja wajitokeze kwa wingi sana maana zitapigwa ngoma nonstop , hits juu ya hits , hakuna atakae kaa ... Tena amesema itakuwa ni zaidi ya kile kilichotokea Morogoro siku chache zilizopita.


 Hivi ndivyo ilikuwa huko MOROGORO



Sasa ni wakati wako kujichanga na usikusudie kuikosa hii ya JUMAMOSI hii PALE JANGWANI SEE BREEZE ....


HUU NDIO MUONEKANO WA ENEO LA TUKIO PALE JANGWANI SEE BREEZE RESORT






Kwa TAARIFA ZAIDI ungana nae FOLLOW INSTAGRAM @djdeo255
na WHATSAPP +255713811331
Share: