Bungeni-SHEREHE ZA KUMUAGA SPIKA WA ZAMANI"SAMWEL SITTA"
Spika wa bunge Anne Makinda akizungumza katika hafla ya kumuaga Spika Mstaafu Samuel Sitta kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma juni 21, 2013
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mheshimiwa Dr. Maua Daftari ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya hafla ya kumuaga Spika wa zamani,Mh. Samuel Sitta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi zake pichani kwa Spika mstaafu. Samuel Sitta katika hafla ya kumuaga Spika huyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013.Kushoto kwake ni mkewe Tunu na wengine kutoka kulia ni Mke wa Spika wa Zamani Margareth Sitta, Spika wa zamani Samuel Sitta na Spika wa Bunge Anne Makinda.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu