ANGALIA UBUNIFU HUU

Maisha unaweza ukatoka kwa staili yoyote ile ambayo wewe mwenyewe utaona ni rahisi kwako kutoka.Wakati mwingine unaweza kufanya ubunifu wa kitu fulani eiza kipya zaidi machoni pa watu au hata kufanya ubunifu juu ya kitu kingine na ukaweza kutoka kimaisha. Ila ubaya upo katika KUKOPI na KUPESTI kwasababu kitakuwa kitu kile kile hakuna tofauti


HEBU ONA HILI GARI LILIVYOFANYIWA UBUNIFU.
Shuhudia gari lililofanyiwa manjonjo na Bw. Keneth Joseph Mwangoka wa Iringa. Gari hili limegharimu shillingi milioni 8 za kitanzania, linatumia injini ya Toyota.






Share: