ROCKET YARIPUKA BAADA YA KUTOKA ARDHINI

Rocket ya kirusi iliyokuwa inatoka ardhini kueleka sayarini yaripuka muda mfupi baada ya kupaa umbali kadhaa.Chanzo cha mlipuko huo hakijajulikana.


Share: