TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu Posa,
amefariki dunia leo saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa
amelazwa.
Taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo
hospitali tafadhari mjulishe na mwenzio..
R.I.P POSA