Breaking news-VURUGU MWANZA-MBUNGE ASHIKILIWA NA POLISI Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisihapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa machozi Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Related Posts:MSANII BONGO MOVIE AFARIKIASKARI AKAMATWA KWA KUDHALILISHA MAITIMIILI YA WANAJESHI WALIOFARIKI SUDANI KUWASILI LEO"SITAACHA KUONGEA SWALA LA KODI ZA SIMU"-JOHN MNYIKASapoti Bongo Flava-(NEW SONG)-ADMO-HAINAGA KUJIFICHA