KILA IJUMAA NA JUMAMOSI HILI NDILO TUKIO Kila Ijumaa na Jumamosi sehemu ni moja tu ya kupata BURUDANI nayo ni AMBROSIA BISTRO n BAR iliyopo maeneo ya MBEZI BEACH AFRIKANA ukichukua bajaji ukimwambia utaletwa mpaka ndani ya mjengo. Unakaribishwa sana mdau wa burudani Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook