COLLABO NYINGINE AFRIKA NA MAREKANI NI HII HAPA Baada ya Davido kupaa mpaka Marekani na kufanya ngoma na mkali wa rap Meek Mill,msanii mwingine wa Afrika kutokea pande za Ghana anaitwa Sackodie nae amepaa mpaka marekani na kufanya ngoma na mkali mwingine wa rap huko anaitwa ICE HOOD. Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Related Posts:Picha-MOTO ULIOWAKA KATIKA BAA MOJA KARIAKOOUmeisikiliza?HANDS ACROSS THE WORLD REMIX- ONE 8Zito laibuka-KIFO CHA LANGAHILI NDO JINA LA MTOTO WA KANYE WEST NA KIM KANDASHIANMAGAZETI LEO