Hii ni zawadi kwa kusherekea siku ya VALENTINE .
Naziomba dakika zako 40 tu kusikiliza MIXING ya nyimbo nzuri zenye ujumbe wa mapenzi kwa wale tuwapendao .
Kwa hakika utapenda na kuhisi raha kwenye masikio yako kusikiliza hii MIX kutoka kwa djdeo255 .
Hizi ni nyimbo za kiswahili zinazoelezea mapenzi !!1
KARIBU KUIDOWNLOAD NA KUISIKILIZA HAPA !!!
Enjoy Your Valentine Day !!!
FOLLOW DJDEO255 ON SOCIAL MEDIA BELOW