Karibu tena kwa mara ingine DJDEO255 amekuletea hii hapa MIXTAPE yenye NGOMA KALI ZA AMAPIANO imepewa jina la SOUND OF AMAPIANO kwasababu ina mchanganyiko wa nyimbo za mataifa mengine zenye maadhi ya amapiano . Chukua muda wako wa saa moja na dakika kadhaa kusikiliza MIX na PLAYLIST , Selection na HITS ZA AMAPIANO naamini utaipenda na utaenjoy kwa hii MIXTAPE.
Unaweza kuwa rafiki n akumsupport DJDEO255 kwa kuwa moja watu kwenye mitandao yake ya kijamii, jaribu kubonyeza link hizi chini zitakupeleka moja kwa moja kwenye account zake za mitandao ya kijamii
DOWNLOAD HERE - SOUND OF AMAPIANO MIXTAPE