Makala-MABUCHA YA KITIMOTO YAWEKWE WAZI

Wizara ya mifugo na uvuvi imewataka wamiliki wa bucha za nyama ya kitimoto (nguruwe) waziweke wazi bucha hizo ili iwe rahisi kwa wao kuzifanyia ukaguzi.
Wizara ya mifugo imesema mara nyingi wamiliki wa bucha za nyama hiyo hawaziweki wazi hivyo inaiwia vigumu serikali kufanya ukaguzi hasa ikitokea magonjwa yanayohusisha nyama hiyo.

Share: