Mwanzo nilitoa habari inayohusu ubunifu,kama hukuiona iangalie tena kwa kubonyeza hapa chini kwenye herufi kubwa
ANGALIA UBUNIFU HUU
na sasa huyu mwingine amebuni biashara ili kujikwamua na maisha
Hii ndio maana halisi ya ubunifu, mfanya biashara huyu kaamua kutembeza “call box” yake kushindana na simu za mikononi.