Ile club yako mpya kabisa iliyopo maeneo ya kigogo karibu na kituo cha polisi.
Club ambayo ipo ndani ya Baa maarufu sana maeneo ya kigogo,NEW PALM VIEW BAR. Inakuletea ratiba ya wiki nzima kama ifuatavyo.
JUMATANO- Wanawake & Wanaume Tsh. 3000/=
ALHAMISI- Wanawake bure (ladies free ) & wanaume 3000/=
IJUMAA- Wanawake & Wanaume 3000/=
JUMAMOSI- Wanawake & Wanaume 3000/=
JUMAPILI - Wanawake bure (ladies free ) & wanaume 3000/=
Bila kusahau siku tatu (JUMATANO & ALHAMISI & JUMAPILI) unakuwa na mad.j wakali YOUNG DJs -- Dj Vale & Dj Deo. Njoo upate radha na ngoma za hatari kutoka dunia nzima.
KARIBU TUJUMUIKE WOTE!!!