Au wewe unapenda kusikiliza mixing za madj mbali mbali?Basi Dj Deo ametengeneza Mega Mixing moja kwa ajili yako mpenzi na shabiki wa muziki.Pia wewe unaependa kusikiliza utundu wa Dj fulani ni nafasi yako sasa kuonyesha sapoti kwa kijana Dj Deo!
Pata nakala ya CD yako sasa ambayo inauwezo wa kupiga kwa muda wa saa 1 na dakika 5 IKIWA na mixing kuanzia wimbo wa kwa mpaka wa mwisho.CD hiyo yenye nyimbo za zamani kuanzia mwaka 2000 kama vile -
INEED A GIRL-P DIDDY,
KEEP YOUR HEADS RINGING-DR DRE
BLOW YOUR MIND-EVE,
RISING TO THE TOP-LOST BOYS
CLUCK CLUCK-WYCLEF JEAN
UNLEASH THE DRAGON-sisqo N.K
Na nyingine nyingi utakazozisikia ndani ya saa hilo 1 na dakika 5
CD hiyo inapatikana kwa bei rahisi kabisa ya sh. 5000/=
Ili kuipata wasiliana kwa namba +255 759 66 07 64 .