BREAKING NEWS- WAFANYABIASHARA K/KOO WAGOMA

Kuanzia Asubuhi mapema hii leo maduka yaliyopo eneo la biashara kariakoo yagoma kufunguliwa.Kupitia kipindi cha Clouds FM power breakfast,KIongozi wa jumuiya ya wafanyabiasha wa kariakoo ameeleza sababu za mgomo huo ni kuwa wanahitaji mazungumzo ya kina na TRA kuhusu matumizi ya mashine za ushuru katika biashara zao .

HABARI ZAIDI ZITAWAJIA
Share: