PENZI JIPYA LA PREZZO TANZANIA NI HILI HAPA

Rapa mkali kutoka pande za Nairobi,Kenya Prezzo amepata demu mpya wa Kitanzania kutoka pande za Mkoani Kilimanjaro aitwaye Tillya baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Huddah Monroe ambaye wamekuwa watukanana kwenye mtandao.

Kupitia mtandao wa instragram Prezzo alitupia picha kadhaa akiwa na mchumba wake huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwana blog ambao kwa sasa mahusiano yao yana miezi miwili.






Share: