"KITORONDO" WIMBO WA DIAMOND WASADIKIWA KUVUJA

Baada ya hivi karibuni kuzuka kwa taarifa ya kuwa umetoka wimbo mpya wa diamond platinumz uitwao kitorondo.Mwenyewe ameibuka na kupost status kupitia account yake ya facebook ya kuwa wimbo huo haujatoka rasmi hivi ameomba usiweze kupigwa katika media au sehemu yoyote kwa maana hauna KUWARITI nzuri ya kupigwa kokote....

HAYA NDIYO ALIYOANDIKA

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified...."



 


WIMBO WENYEWE UPO HAPA CLICK KITORONDO AUDIO
.
Share: