(Audio)Download na sikiliza Dj Deo - Nigeria (African Hits) Non Stop

Katika kuendeleza harakati za udj Tanzania Huyu Dj ameamua kutoa hii Non stop kwa mashabiki wake ili waweze kuona moja ya kazi zake....Akizungumza na Blog hii mapema hii leo amesema kuwa kwa sasa ameamua kutengeneza Non stop ili washabiki na wengine wanaopenda kufahamu kazi yake katika udj ha mixing wapate kujua..Pia ameeleza kuwa katika nonstop hii kuna makosa madogo madogo lakin kwa mtu Dj anaweza akagundua akisikiliza vizuri mpaka mwisho.

KARIBU UISIKILIZE NA UIDOWNLOAD ILI UWEZE KUAMISHIA DISCO NYUMBANI ...

Non stop hii imebeba nyimbo zinazotamba zaidi kwa sasa kama vile JOHNNY ya yemi alade,skelewu ya davido,test money ya p square na nyingine nyingi.




Share: