Kutokana na taarifa zilizotapakaa katika vyombo vya mbalimbali ni kuwa m to the p amefariki pia lakini maelezo ya daktari akiongea na clouds fm leo amethibitisha kuwa M to the P anaendelea vizuri ingawa bado hajapata nguvu vizuri za kuongea.
Pia Millad Ayo aliongea moja kwa moja kutoka South Afrika alithibisha kumuona M to the P anaendelea vizuri
Kwa upande mwingine daktari amesema kuwa uthibitisho kuhusu kifo cha Ngwea bado haujajulikana bado wapo katika uchunguzi zaidi majibu yatatolewa baada ya uchunguzi kufanikiwa.
PICHANI NI NGWEA NA M TO THE P
MUNGU AMPE AFYA M TO THE P
R.I.P MANGWEA