HII NDO DORIA ILIVYO MKOANI MTWARA Hili Hawa ni wanajeshi wakiweka doria ya kutosha katika mitaa mbalimbali ya Mtwara ili kuweka usalama zaidi kufuatia vurugu zilizotokea hivi karibuni. Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook