BREAKING NEWS-(NAOMBA RADHI KWA PICHA HII) AJALI MBAYA YAUWA MWENDESHA BODABODA PAPO HAPO

Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka! Na Simba plastiki
 Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi roar na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,na asilimia mia dereva kafanya dharau saaana,maana alipinda gari ikiwa kwenye speed kubwa sana


Share: