Picha-OBAMA AKIWA NDANI YA GEREZA ALILOFUNGWA MANDELA

Wakati wa ziara ya Obama nchini south Afrika alitembelea Kisiwa cha Robben Ambacho ndipo kulikuwa na gereza alilofungwa Nelson Mandela Raisi wa zamani wa Afrika kusini KWA muda wa miaka 27.
Mandela ambaye kwa sasa ni mgonjwa.

HII HAPA PICHA AKIWA NDANI YA GEREZA HILO


Popular posts from this blog