HIVI NDIVYO MWILI WA NGWEA ULIVYOTOKA AFRIKA KUSINI

Mwili wa aliyekuwa staa wa muziki Tanzania Albert Mangwea unatarajiwa kufika leo saa 8 mchana kwa shirika la ndege la Afrika Kusini.
PICHANI NI JINSI MWILI HUO ULIVYOFIKA AIRPOT AFRIKA KUSINI
Share: