JENGO LA GHOROFA 4 LAANGUKA

Habari kutoka Philadephia zinasema kuwa Jengo la stoo lenye gorofa nne laanguka na kuuwa mmoja na wengine 13 kujeruhiwa.
Baadhi ya mashahidi wa tukio hilo na majeruhi ambao hali zao ni nzuri waliweza kuongea machache kuhusu jengo hilo ambapo wengi wao walisema kuwa jengo hilo lilianza kuonyesha nyufa wiki moja iliyopita kabla ya kudondoka kama hali ilivyo sasa.





Share: