Skip to main content

PICHA--BEACH PARTY YAFUNIKA DAR

FANTASIE GROUP NDIO WAANDAJI WA SHOW NZIMA HAPO JANA


Bonge la party iliyofanyika jana kuanzia majira ya jioni saa 8 mpaka saa 8 usiku maeneo ya BELINDA HOTEL Mbezi beach ambayo ilikuwa imejumuisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali kama vile CBE,KIU,UCC,IFM n.k ilikuwa ya aina yake.
Katika party hiyo ambayo ilishereheshwa  kwa mambo mbalimbali kama vipaji vya KUFREESTYLE,KUDANCE na KUPIGA KIDUKU.Pia disko la kufa mtu lililokuwa limefungwa na kampuni inayokuja kwa kasi sana ya UNIVERSAL ENTERTAINMENT chini ya Dj frank.

Bila kusahau mziki mtamu uliyowafanya wengi watoke jasho na kukubali kazi ya Dj mdogo mwenye mbwembwe za kufanya watu watoke jasho anayejulikana kama Dj Deo xlasc ndio aliongoza shoo nzima.

Uongozi wa UNIVERSAL ENTERTAINMENT ulisema ya kuwa kwa wale waliopenda party hiyo na wewe uliyekosa kufika siku ya jana unaombwa usikose party nyingine itakayowajia siku chache zinazokuja.
Kiongozi huyo aliendelea kusema kuwa "kwa yeyote atakae hitaji muziki kwa ajili ya sherehe yake anaweza kuwasiliana nae kwa namba +255 718 7434003 a u kutembelea page ya FRANK MUSHY.
Vilevile kutembelea blog ya www.deejaydeo.blogspot.com au namba ya Dj deo xlasc 0654 57 50 21.


PICHA ZA MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA BEACH PARTY HIYO JANA

Popular posts from this blog

(DjMix) DJ DEO - BONGO FLEVA HITS NON STOP MIXING

Please listen and download this dj mixing from tanzania by group YOUNG DJS ...Present Dj Deo on this mix

(Audio - Dj Mixing) DjDeo - BONGO FLEVA OLD SKOOL NON STOP

This is mix from the Dj in Tanzania who representing YOUNG DJS GROUP ... Make this olds of bongo fleva ....
Take your time to download and to listen of it...If you will like the mix yu can subcribe and comment below or to my whatsapp number.... on the cover ...

KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI ZATAWALA PICHA ZA MANDELA

Baada ya hapo jana majira ya saa 2 usiku kwa saa za afrika ya mashariki kutangazwa kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na raisi wa kwanza wa Afrika kusini Bw.Nelson Mandela,leo hii magazeti mbalimbali duniani yatawala kwa habari hiyo

ANGALIA MAGAZETI HAYO