Moja kati ya tukio la ajabu ni pindi Ambulance ilipokuwa inataka kuwahi kuchukua mwili ili kuuwahisha Muhimbili lakini kwa umati mkubwa wa watu tukio hilo lilishindika na watu waligoma kufanyika kwa kitendo hicho hali iliyopelekea jeneza la marehemu kubebwa na wananchi waliofika eneo la tukio Airport na kulipeleka katika gari husika tayari kuelekea muhimbili.
2."mshushe tumbebe....mshushe tumbebe...ndio wimbo ulikuwa unaimbwa na wananchi waliofika kuupokea mwili wa marehemu Ngwea.
3.Wasanii walilazimika kushuka kwenye gari ili kuusindikiza msafara baada ya watu kutaka wafanye hivyo,msaraba wa marehemu ulibebwa kwa kupokezana wakati kiongozi mkuu alikuwa FID Q
HIZI NI BAADHI YA PICHA KWA KILICHOJILI ENEO LA TUKIO