QUEEN WA KUCH KUCH HOTA HAI AFARIKI DUNIA

Mwanadada mrembo aliyecheza movie ya kuch kuch hotai afariki dunia juzi.Habari toka ichanzo kimoja cha habari huko india zinasema kuwa mwanadada huyo JIAH KHAN amekufa kwa kujinyonga.Chanzo cha kujinyonga hakijatajwa rasmi lakini kutoka kwa vyanzo mbalimbali inasemekana kuwa amejinyonga kwa wivu wa mapenzi baada ya kugundua mwanaume wake ana mtu mwingine.

Actress Jiah Khan was found dead at her Juhu residence. Police confirms that the actress had committed suicide by hanging herself. Jiah was raised in England, but later shifted to Mumbai with her mother. Also known as Nafisa Khan, the actress made her debut in 2007 opposite superstar Amitabh Bachan in the controversial movie Nishabd. She then moved onto acting in hit films like Ghajini and Housefull. May her soul rest in peace.


Share: