TATOO ZA WASANII KADHAA WA BONGOMOVIES ZILIZOWEKWA HADHARANI

Baada ya waigizaji kadhaa wa bongo movies kuendelea kuzianika tattoo zao mbalimbali zilizopo kwenye miili yao,sasa ni zamu ya mwigizaji Anyefanya vizuri sana kwenye tasnia ya filamu nchini CHUCHU HANS KICHUNYA kuziweka zake hadharani baada ya jana kuweka picha kadhaa kwenye mtandao zikionesha tattoo hiyo iliyoko maeneo ya kiunoni kwa juu kidogo.

Huyu anakuwa msanii mwingine tena wa bongo movies kuweka wazi tattoo zake baada ya waigizaji waliozoeleka kwenye jamii kwa tattoo zao kama Wema sepetu, Irene Uwoya, Jacquiline Wolper na Mainda







Share: