Update-RATIBA YA MAZISHI YA LANGA

Msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa Kileo,Mikocheni nyuma ya hospitari ya AAR palipokuwa na ofisi za Benchmark production.
Mwili wa marehemu utaagwa Jumatatu saa 7 mchana.
Mazishi yatafanyika makaburi ya Kinondoni saa 10 alasiri.

R.I.P LANGA.

SOURCE djchoka.

Popular posts from this blog