FAINALI BRAZIL vs SPAIN-VURUGU KALI ZATOKEA

Katika kile kinachoelezwa kuwa ni mwendelezo wa maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama kuelekea kombe la dunia nchini Brazil,jana katika fainali kati ya Brazil na Spain,waandamanaji walianzisha fujo nje ya uwanja.Waandamanaji hao ambao inakadiriwa walikuwa zaidi ya 5000 waliazisha fujo hizo wakiwa wanaendeleza upingaji wa kupanda kwa gharama.Wakati mchezo ukiendelea hapo jana polisi walikuwa wametanda nje ya uwanja kuweka usalama (angalia picha hapo chini)
Katika kuwatawanya waandamaji polisi walikuwa wanatumia mabomu ya machozi na risasi za moto.

 "One protester, who did not give her name, described the police response as an "embarrassment" to Brazil.
"You can't do anything. You can't protest. You know why? Because our government has no shame," the protester said.

Katika fainali hizo jana na matokeo kuwa 3-0








Share: