Moto mkubwa uliowaka mapema wiki hii katika kiwanda cha plastiki huko west midland,Birmingham.Habari zikieleza kuwa zaidi bya tani 100000 zimeteketea kwa moto zikiwemo ndani ya kiwanda hicho.Kikosi cha zima moto cha mjini hapo kimejitahidi kukabiliana na ajali hiyo.