Historia Leo-KUKAMATWA KWA MANDELA NA KUFUNGWA MIAKA 27

Leo ni kumbukumbu ya miaka 50 tangu operesheni ya polisi wakati wa enzi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika kusini kulivamia shamba linalojulikana kama Liliesleaf na kumtia nguvuni Nelson Mandela . Kukamatwa kwake kulikuwa chanzo cha kufunguliwa mashtaka ya uhaini dhidi ya serikali ya wazungu wachache na kifungo cha miaka 27 gerezani. Maadhimisho haya yanafanyika wakati ambapo Mandela mwenyewe akiwa katika hali mbaya ya afya hospitalini.

PICHANI NDIO ENEO LA LILIESLEAF FARM AMBAPO MANDELA ALIKAMATWA NA KUFUNGWA MIAKA 27Popular posts from this blog