Kama hujui?-HILI NDIO JENGO REFU ZAIDI DUNIANI

Wengi wetu tunajua kuwa yale majengo yaliyolipuliwa marekani ndiyo majengo marefu zaidi duniani.Si kweli !

UKWELI

Kuna jengo refu zaidi duniani na ndio mpaka leo halijafikiwa kujengwa jengo refu zaidi ya hilo.Jengo hilo linapatikana DUBAI na limepewa jina na kuitwa  Burj Khalifa.

Jengo hilo lilianza kujengwa mwaka 2004 na ujenzi wake kukamilika 2010.Pia ndiyo jengo ambalo lilishinda tuzo ya Emporis Skyscraper Award mwaka 2010.
Ujenzi wa jengo hilo ulighalimu dora za kimarekani million 1.5.
Mara nyingi watu hufika katika jengo hilo kipindi cha kuukaribisha mwaka(HAPPY NEW YEAR) kutokana na kufanyika matukio mengi ya kusharekea siku hiyo.

Jengo hilo lina gholofa 163,lifti (elevator) 57,sehemu 3000 za parking.Pia jengo hilo linatumika kwa makazi ya watu,hotel na ofisi za kibiashara.


HII NDO SAFU YA MAJENGO MAREFU ZAIDI DUNIANI
HILI NDIO JENGO REFU ZAIDI DUNIANI (BURJ KHALIFA)

Popular posts from this blog