Skip to main content

KILICHOJIRI UBUNGO JANA

Kutoka MilladAyo.com


President Barack Obama wa Marekani tayari amemaliza ziara yake ya siku mbili Tanzania ambapo sehemu ya mwisho kuitembelea ilikua Ubungo Dar es salaam ambako aliidhinisha mpango wa serikali yake wa dola bilioni saba kwa ajili ya kusaidia mradi wa umeme kwenye bara la Afrika.
Anakwambia huo mradi ni muendelezo wa sera za serikali yake katika kuhakikisha Afrika inakua na umeme wa uhakika mara mbili ya ilivyo sasa hivi ambapo ukikamilika, utawezesha ukuaji wa uchumi kwa kasi inayotakiwa.

Pamoja na Marekani kuidhinisha hiyo pesa kwenye mradi wa umeme, kundi la Wafanyabiashara Afrika litachangia dola za Kimarekani bilioni 9 kwa ajili ya huo mradi wa umeme ambao kwanza utajikita kwenye nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia, Ghana, Liberia na Nigeria.
Baada tu ya ziara ya Ubungo, President Barack Obama alisindikizwa Airport JK Nyerere na kuondoka kurudi Marekani kwa kutumia ndege binafsi ya Rais aliyokuja nayo Afrika na kuzitembelea nchi za Afrika.

Popular posts from this blog

(DjMix) DJ DEO - BONGO FLEVA HITS NON STOP MIXING

Please listen and download this dj mixing from tanzania by group YOUNG DJS ...Present Dj Deo on this mix

(Audio - Dj Mixing) DjDeo - BONGO FLEVA OLD SKOOL NON STOP

This is mix from the Dj in Tanzania who representing YOUNG DJS GROUP ... Make this olds of bongo fleva ....
Take your time to download and to listen of it...If you will like the mix yu can subcribe and comment below or to my whatsapp number.... on the cover ...

KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI ZATAWALA PICHA ZA MANDELA

Baada ya hapo jana majira ya saa 2 usiku kwa saa za afrika ya mashariki kutangazwa kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na raisi wa kwanza wa Afrika kusini Bw.Nelson Mandela,leo hii magazeti mbalimbali duniani yatawala kwa habari hiyo

ANGALIA MAGAZETI HAYO